VIDEO: HIVI NDIVYO PARAGUAY WALIVYO ITOA BRAZIL KWA PENATI COPA AMERICA
Paraguay wameiondosha Brazil katika michuano ya Copa America kwa penalti 4-3 na kutinga hatua ya nusu fainali ambapo watakabiliana na Argentina.
Mchezaji wa Everton, Ribeiro na Douglas Costa walikosa penalti kwa upande wa Brazil
Tazama jinsi wanaume walivyopiga matuta BOFYA HAPA
Maoni
Chapisha Maoni