Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2019

SFI MARKETING CAMPAIGN

<A HREF="https://www.sfi4.com/11940358.6/pl"> <IMG SRC="https://www.sfimg.com/SFIBanners/banner679.png" border="0" alt="Join my SFI Powerline!" /></A>

Mbwana Samatta: Mshambuliaji kinara wa Tanzania afunga bao la kufutia machozi Genk ikilazwa 2-1 na Liverpool

Picha
Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Mshambuliaji kinara wa klabu bingwa ya Ubelgiji KRC Genk na nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta, hatimaye amepachika goli dhidi ya vigogo wa England klabu ya Liverpool jana usiku. Goli hilo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mpira wa miguu nchini Tanzania. Hata hivyo, matokeo ya mwisho ya mchezo huo wa Klabu Bingwa Ulaya yalikuwa mabaya kwa Genk kwa kulazwa kwa goli 2-1. Samatta, aliunganisha kwa kichwa mpira wa kona mpaka wavuni katika dakika ya 40 ya mchezo. Mshambuliaji huyo ambaye ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano hiyo mikubwa zaidi ya vilabu barani Ulaya tayari ameshapachika magoli mawili katika mechi nne. Samatta aweka historia, Genk yaadhibiwa Champions League Champions League: Samatta apangiwa mabingwa Liverpool Katika mechi ya mkondo wa kwanza dhidi ya Liverpool, Samatta pia alipachika bao la kichwa ambalo hata hivyo lilikataliwa baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Liverpool kabla ya ku...

UNA NGOJA NINI? WAHI SASA TIBA YAKO.

Kwa wadau wetu wa karibu kabisa, tunayo suluhisho sasa la ile dawa bora kabisa ya tezi dume, cancer zote, kupoteza kumbukumbu, ugumba, matatizo ya akina mama, fungus na kunuka sehemu za siri, nguvu za kiume na mengine mengi. Dawa hizi tunazitoa kwa gharama nafuu kabisa ukilinganisha na Hospital dawa ambazo ungeuziwa hospital kwa million mbili sisi tunakupatia kwa Tzs laki mbili tu na hazina chemicals kabisa. Zimethibitishwa na TFDA na ISO, Shirika la viwango vya ubora duniani. Waslilana nasi kwa guijilahabari@gmail.com

Pirates kidnap nine from Norwegian ship off Benin

Picha
Image copyright Image caption The Benin navy's anti-piracy team on patrol in the Bight of Benin in the Gulf of Guinea Pirates have kidnapped nine crew members from a Norwegian shipping vessel off the coast of Benin in West Africa. The vessel was carrying gypsum, a mineral used as a fertiliser, and was at anchor, owner JJ Ugland said. The Gulf of Guinea is world's most dangerous piracy hotspot, says the International Maritime Bureau (IMB). Some 62 seafarers have been captured off the coasts of Nigeria, Guinea, Togo, Benin and Cameroon this year. Africa Live: More on this and other African stories The world's most dangerous seas Is Africa facing a new wave of piracy? The Norwegian-flagged MV Bonita's remaining crew notified the local authorities after the attack early on Saturday and the vessel docked in Cotonou, the largest city in Benin, later the same day,  JJ Ugland said in a statement. Although piracy has decreased worldwide, it continues to rise i...

Bosi wa McDonald Steve Easterbrook afukuzwa kazi kisa uhusiano wa kimapenzi.

Picha
Haki miliki ya picha Image caption McDonalds imemfuta kazi kiongozi wa juu baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi. Kampuni hii kubwa ya chakula imesema kuwa uhusiano huo ulikua wa makubaliano baina yao lakini umekiuka sera za kampuni na kuonesha maamuzi mabaya. katika barua pepe iliyotumwa kwa wafanyakazi, mfanyabiashara huyo muingereza alikiri kuwa na uhusiano na kusema kuwa alifanya makosa. ''kwa kufuata taratibu za kampuni nakubali ni muda sasa wa mimi kuondoka'' alisema Bosi huyo. Bwana asterbrook, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ameachana na mkewe, amefanya kazi katika kampuni ya McDonalds tangu mwaka 1993, kama meneja huko London kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo. Aliondoka mwaka 2011 na kuwa bosi wa Pizza Express na baadae kwenda katika kampuni ya chakula ya Asia kisha kurudi McDonalds mwaka 2013, mwaka 2015 alichagulia kuwa mwenyekiti mtendaji wa McDonald's . Unaweza pia kusoma: Mtawa 'anayewapeleka' wafungwa kunyo...

NAFASI YA KAZI

Anatafutwa Dispenser aliyesajiliwa leo ama kesho tayari kwa kuanza kazi. Kituo ni hapa hapa Dar es salaam. Awe na cheti cha pharmacy mwaka mmoja Awe na cheti cha leseni. Zaidi awe wa kike. Awe mkazi wa Dar. Wasiliana kwa no: 0656710535 Utapelekwa moja kwa moja.

Simulizi ya mwanamke mmoja ambaye anadai kuwa ndoa yake iliingia doa siku ya harusi

Picha
Haki miliki ya picha Harusi huwa ni jambo la kheri ambapo sherehe hiyo huwa inawavutia wengi duniani kote ingawa baadhi ya wanawake katika maeneo kadhaa ya dunia, sherehe hiyo hugeuka kuwa janga ambalo wanashindwa kulisahau kutokana na sababu tofauti tofauti. Katika mataifa ya kiarabu na kiislamu, wanawake huwa wanatarajiwa kuwa mabikiwa wakati wanapoolewa. Idhaa ya kiarabu ya BBC ilizungumza na baadhi ya wanawake kuhusu uzuri wa usiku wa harusi katika kujenga ndoa zao na namna gani ukosefu wa elimu ya ngono unavyoathiri ndoa zao. Haki miliki ya picha Somayya aliingia kwenye mvutano na familia yake mara baada ya familia yake kumkatalia kuolewa na mwanaume aliyempenda kwa dhati, Ibrahim. Hakutegemea hata kidogo kuwa maisha yake yangeweza kubadilika na ndoto zake kupotea. Ilikuwa ni siku ya kwanza kukutana na mume wake inayofahamika kama "night of entry" kipindi ambacho mapenzi yote yaliisha kutokana na kutolewa kwa ubikira wake. Somayya, mwenye umri wa miaka 23...