HARUSI YA MTOTO WA MIZENGO PINDA ILIVYOMTOA MACHOZI LULU KATIKA HARUSI YAKE JANA
Ikumbukwe kwamba Chrispine
Mizengo Pinda na Adeline Ngugi wote wamehitimu pamoja katika chuo cha
kimataifa cha Diplomasia kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam amabapo
walisoma Post Graduate in Management of Foreign Relations.
Bwana Harusi Chrispine
Mizengo Pinda akiingia ukumbini wakati wa Sherehe ya ndoa yake na
Bi.Adeline iliyofanyaka katika ukumbi wa JK Hall viwanja vya Saba saba
Jijini Da r es Salaam Jana.
Marafiki wa karibu wa
Chrispine na Adeline waliowakilisha wanafunzi wa chuo cha Diplomasia
katika Hrusi hiyo wakifurahi Pamoja walipokuwa katika sherehe hiyo
wakiongozwa na Khadija,Hassan
,Zitta,Lulu,Diana,Kennedy,Ngamanya,Mwanakatwe na Glady
Hassan Abbas kutoka ofisi
ya Rais Ikulu ambaye ni mkuu wa mawasiliano wa BRN Tanzania akifurahia
Jambo na Kennedy Ndosi wa Masma Blog katika Harusi Hiyo
Binti huyu mwenye gauni la
bluu Lulu Rodgers (katikati) ndiye aliyedaiwa kumwaga chozi kwa furaha
baada ya kuona wawili hao ambao ni marafiki zake wakifunga ndoa takatifu
jana kwani anasema walikuwa wakitaniana sana kiasi kwamba anaamini ndoa
yao itakuwa ya furaha na amani sana..
Maoni
Chapisha Maoni