DHAHABU YA YAUA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO 20 HUKO KALOLE


Zaidi ya wachimbaji 20 wa dhahabu huko Kalole wilyani Msalala mkoani Shinyanga wanasadikiwa kufariki juzi tarehe 17/04/2015 baada ya kurundikana eneo moja lililosadikiwa kuwa na dhahabu nyingi na hivyo wote kuanza kuchimba eneo hilo moja bila utaratibu na ndipo kifusi kilipo waangukia na kuwafunika.

Maoni