Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2014

Hizi ndizo Ndege kubwa Duniani zinazobeba mizigo na zimetengenezwa kwa Technologia ya hali ya juu.HUBEBA NDEGE NYENZAKE KWA JUU

Picha
Hizi ndizo Ndege kubwa Duniani zinazobeba mizigo na zimetengenezwa kwa Technologia ya hali ya juu, Ndege hizi zote zimetengezezwa nchini (Ukrainian) na kampuni moja inaitwa {Soviet Union's Antonov Desig}     HIZI NDIZO SIFA ZA HIZI NDEGE ZA MIZIGO   SIFA ZAKE Crew:  6 Length:  84 m (275 ft 7 in) Wingspan:  88.4 m (290 ft 0 in) Height:  18.1 m (59 ft 5 in) Wing area:  905 m 2  (9,740 sq ft) Aspect ratio:  8.6 Empty weight:  285,000 kg (628,317 lb) Max takeoff weight:  640,000 kg (1,410,958 lb) Fuel capacity:  300000 kg Cargo hold – volume 1,300m 3 , length 43.35m, width 6.4m, height 4.4m Powerplant:  6 × ZMKB Progress D-18 turbofans, 229.5 kN (51,600 lbf) thrust each     UFANYAJI WAKE KAZI Maximum speed:  850 km/h (528 mph; 459 kn) Crui...

YASEMEKANA HUYU NDIYE DAKTARI ALIYE TENGENEZA VIRUSI VYA UKIMWI

Picha
Kirus kikiwa katika moja ya maumbo yake In April 1984, Dr. Robert Gallo filed a United States patent application for his invention, the HIV/AIDS Virus. Normally, when a patent is filed and approved, as Dr. Gallo’s was, anyone who uses the product or invention owes a royalty payment to the inventor. Thus, holding the intellectual property laws to their fullest interpretations, one must only wonder why Dr. Gallo has yet to file a lawsuit seeking to recover damages from the usage of his invention? As odd as this scenario may sound, it bears need for additional scrutiny. The scientific evidence is complete and compelling, the AIDS Virus is a designer bi-product of the U.S. Special Virus program. The Special Virus program was a federal virus development program that persisted in the United States from 1962 until 1978. The U.S. Special Virus was then added as ‘compliment’ to vaccine inoculations in Africa and Manhattan. Shortly t...

OBAMA MWISHO WA MATATIZO...MCHEKI ALIPOINGIA MTAANI KUNUNUA SANDWICH,

Picha
Rais wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua 'sandwich' . (picha: Pete Souza/ Ikulu "White House"). Wawakilishi wa Wananchi huko Bungeni 'wamemwekea usiku' na 'kumzingua' Rais Obama kwenye mipango yake inayotegemea bajeti ambayo waligoma kuipitisha, naye akatilia ngumu kubadili au kuondoa miradi yake.

NEWS » HATIMAYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AJIUZURU

Picha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi lake – Ni kufuatia kashfa ya Tegeta Escrow

NEWS » HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

Picha
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA  Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

HATIMAYE Regnald Mengi Amchumbia Jacqueline Ntuyabaliwe (K Lynn) Huko Dubai.

Picha
Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn) Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye akajibu “I Do”

CHELSEA YAFUNGWA NA NEWCASTLE BAO 2- 1

Picha
Mshambuliaji wa timu ya Newcastle, Pappis Cisse akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 57 kipindi cha pili dhidi ya Chelsea katika  Uwanja wa St James' Park. Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili  timu yake ya Newcastle dakika ya 79.…