MAJANGA HAYA, MZUNGU AMLAZIMISHA HOUSEGIRL KUFANYA MAPENZI NA MBWA WAKE JIJINI DAR. Soma hapa uone inavyotia hasira.
KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli)
mkazi wa Tabata jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth,
amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni
Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake.
Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo la
kinyama Mei 26, mwaka huu na inadaiwa Aneth alipomkatalia, alimtimua
nyumbani hapo kwa kumtupia virago.
Chanzo makini kilidai kuwa, baada ya kutupiwa virago bila kupewa
mshahara wake sambamba na kipigo, Aneth aliripoti tukio hilo katika
Kituo Kidogo cha Polisi cha Tabata, Dar na muda mfupi polisi walifika
nyumbani hapo lakini Mzungu huyo hakutoka ndani, akakataa kuzungumza
chochote.
Taarifa zilidai kuwa, baada ya polisi kukutana na kizingiti hicho,
walimpigia simu kiongozi wao ambaye aliwaamuru warudi kituoni wajipange
upya.
Wananchi wakiwa wamezingira nyumbani kwa mzungu.
Akisimulia zaidi ishu hiyo, Aneth alisema polisi walipoondoka eneo hilo,
umati uliochukizwa na kitendo hicho ulikusanyika nje ya nyumba ili
kumdhibiti ‘mtasha’ huyo kwa lolote.
“Kuna jirani mmoja alipiga simu tena kituo cha polisi alipoona hali ya
hewa imechafuka ndipo polisi wakafika kwa mara nyingine na difenda na
kufanikiwa kuingia ndani kwa kutumia geti kubwa, walipofika walikuta
milango imefungwa lakini ilisemekana aliruka ukuta na kutimkia
kusikojulikana.
“Polisi waliniambia nimpigie simu ajisalimishe lakini nilipompigia
alisema hayupo na kama tunamhitaji tukutane sehemu huku na yeye akiwa na
polisi wake,” kilisema chanzo.
Mbwa wa mzungu waliotakiwa kufanya mapenzi na hausigeli.
Mmiliki wa nyumba hiyo anayeishi Kigamboni, Mr. Cris alipoulizwa
kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kupokea malalamiko na manyanyaso kutoka
kwa Aneth.
Akisimulia zaidi maisha anayoishi na Mzungu huyo, Aneth alisema:
“Alikuwa akinitafutia sababu za kunitimua kwani hivi karibuni kwa bahati
mbaya nilipoteza ufunguo wa ndani, akanipiga mateke na kunisababishia
maumivu makali mwilini kiasi cha kushindwa kutembea.
“Lakini lililoniuma zaidi ni hili la kunilazimisha eti nifanye mapenzi
na mbwa wake, amekuwa akifanya hivyo mara kwa mara mimi nikaona siyo
sawa na nilipokataa ndipo yakanikuta hayo.”
Aneth aliripoti matukio hayo katika Kituo Kidogo cha Polisi Tabata na
kupewa fomu ya matibabu (PF-3) sambamba na kufunguliwa jalada la kesi
namba TBT/RB/3132/2014/ SHAMBULIO na jalada la uchunguzi lenye namba
TBT/IR/1829/2014/UCHUNGUZI
Maoni
Chapisha Maoni