Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2015

HARUSI YA MTOTO WA MIZENGO PINDA ILIVYOMTOA MACHOZI LULU KATIKA HARUSI YAKE JANA

Picha
Ikumbukwe kwamba Chrispine Mizengo Pinda na Adeline Ngugi wote wamehitimu pamoja katika chuo cha kimataifa cha Diplomasia kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam amabapo walisoma Post Graduate in Management of Foreign Relations. Bwana Harusi Chrispine Mizengo Pinda akiingia ukumbini wakati wa Sherehe ya ndoa yake na Bi.Adeline iliyofanyaka katika ukumbi wa JK Hall viwanja vya Saba saba Jijini Da r es Salaam Jana. Marafiki wa karibu wa Chrispine na Adeline waliowakilisha wanafunzi wa chuo cha Diplomasia katika Hrusi hiyo wakifurahi Pamoja walipokuwa katika sherehe hiyo wakiongozwa na Khadija,Hassan ,Zitta,Lulu,Diana,Kennedy,Ngamanya,Mwanakatwe na Glady Hassan Abbas kutoka ofisi ya Rais Ikulu ambaye ni mkuu wa mawasiliano wa BRN Tanzania akifurahia Jambo na Kennedy Ndosi wa Masma Blog katika Harusi Hiyo Binti huyu mwenye gauni la bluu Lulu Rodgers (katikati) ndiye aliyedaiwa kumwaga chozi kwa furaha baada ya kuona wawili hao ambao ni marafiki ...

DHAHABU YA YAUA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO 20 HUKO KALOLE

Picha
Zaidi ya wachimbaji 20 wa dhahabu huko Kalole wilyani Msalala mkoani Shinyanga wanasadikiwa kufariki juzi tarehe 17/04/2015 baada ya kurundikana eneo moja lililosadikiwa kuwa na dhahabu nyingi na hivyo wote kuanza kuchimba eneo hilo moja bila utaratibu na ndipo kifusi kilipo waangukia na kuwafunika.

ZITO KABWE AFANYA KUFURU SONGEA ..WATU WAFURIKA KWENYE MKUTANO WAKE TAZAMA PICHA

Picha

MENGI NA MKEWE KYLN WALIVYO FUNGA NDOA YA KIHISTORIA

Picha
Mr and Mrs Mengi wakiwa na furaha siku ya Ndoa yao  Mimi Dr. Reginald Mengi naahidi kumpenda Jacqueline Ntuyabaliwe katika shida na raha hadi kifo kitutenganishe Ilikuwa ni furaha, upendo wa dhati na shangwe pomoni. Baada ya miaka kadhaa ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dr. Reginald Mengi na Miss Tanzania, 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe wamefunga ndoaWawili hao wamebahatika kupata watoto wawili mapacha pamoja. Watoto hao wa kiume nao waliungana na wazazi wao kushuhudia wazazi wao wakibadilisha viapo vya ndoa.