Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2014

JIHADHARI NA MATAPELI HAWA ORIGINAL ONA MBINU ZAO NA NAMBA ZAO ZA SIMU

Picha
CHUNGA SANA NAMBA HIZI   ZASIMU ZINAZOTUMIWA NA MATAPELI JIJINI DAR NA MIKOA MINGINE..! 1.0715-426676- Huyu hujifanya yupo Rufiji fundi mkuu 2.0762-601106- Huyu hujifanya meneja wa mladi 3.0783-068678- Huyu ndiye mtafuta Tenda 4.0789-897474- Huyu anajifanya Afsa Suma JKT Wanambinu nyingi za kumuingiza mjini mtu na tayari wameshawaibia wananchi wengi sana hujifanya wapo  Hata hivyo taarifa zilizonaswa na blog hii zinasema kuwa Jeshi la Polisi Kinondoni limeanza msako wa chini kwa chini kuanzi tarehe ya leo 28/5/2014 ili kuwanasa watuhumiwa hawa kwani wamekuwa kero kubwa kwa wananchi. XDEEJAYZ

MAJANGA HAYA, MZUNGU AMLAZIMISHA HOUSEGIRL KUFANYA MAPENZI NA MBWA WAKE JIJINI DAR. Soma hapa uone inavyotia hasira.

Picha
KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi   wakiwa   wametinga   nyumbani   kwa   mzungu   na   silaha .  Kushoto   ni   hausigeli . Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo la kinyama Mei 26, mwaka huu na inadaiwa Aneth alipomkatalia, alimtimua nyumbani hapo kwa kumtupia virago. Chanzo makini kilidai kuwa, baada ya kutupiwa virago bila kupewa mshahara wake sambamba na kipigo, Aneth aliripoti tukio hilo katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Tabata, Dar na muda mfupi polisi walifika nyumbani hapo lakini Mzungu huyo hakutoka ndani, akakataa kuzungumza chochote. Taarifa zilidai kuwa, baada ya polisi kukutana na kizingiti hicho, walimpigia simu kiongozi wao ambaye ...

LULU MICHAEL ATEMBEA NIDO NJE NJE...ANGAIKA KUZIFUNIKA BILA MAFANIKIO, JIONEE PICHA HAPA

Picha
Stori: Hamida Hassan MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema: “Yaani nilimuona Arusha akiwa amevaa gauni lililoacha wazi matiti yake, kaficha chuchu tu na inavyoonekana gauni lilimvuka, akaonekana akihangaika kulirudishia bila mafanikio.” SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

ROSTAM AZIZI KATIKA MSIBA MKUBWA

Picha
ALIYEKUWA mbunge wa Igunga,   Rostam Aziz, (CCM),  amefiwa na baba yake Aziz Abdulrasool (73) jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Akizungumza nyumbani kwa marehemu Oysterbay jana, mtoto wa pili wa marehemu, Akram Aziz, alisema baba yake alifariki saa 12 asubuhi ikiwa ni saa mbili tu baada ya kurudishwa nchini kutoka Ufaransa alikuwa anatibiwa. “Baba amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani,tumemrudisha nchini jana saa 10 alfajiri kutoka Ufaransa, lakini ilipofika saa 12:30 alifariki dunia. “Baada ya kugundulika kuwa na saratani, alianza  matibabu Nchini Ufaransa  na Kurudi hapa Nyumbani…Mara ya mwisho baba alipelekwa nje miezi miwili iliyopita, lakini hali yake ilizidi kuwa mbaya akaomba tumrudishe nyumbani ili awe karibu na ndugu na mafariki zake,”alisema Akram. Marehemu alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu, saa 10 jioni jijini Dar es Salaam na amewacha wajane watatu,watoto 17 na...