TATIZO LA KOMPYUTA LATATIZA SAFARI ZA NDEGE ZA BRITISH AIRWAYS
Tatizo la kompyuta latatiza safari za ndege za British Airways Saa moja iliyopita Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Msongamano wa abiria wa kampuni ya British Airways katika uwanja wa ndege wa Heathrow Image caption Msongamano wa abiria wa kampuni ya British Airways katika uwanja wa ndege wa Heathrow Abiria wanaosafiri na Shirika la Ndege la British Airways, wamecheleweshwa kwa sababu ya matatizo ya kompyuta. Baadhi ya ripoti zinaeleza kuwa matatizo hayo huenda yameathiri shughuli za shirika hilo dunia nzima. BA imeomba msamaha katika mitandao ya jamii, na inasema inajaribu kumaliza tatizo hilo haraka iwezekanavyo. China yazindua meli kubwa ya kivita Ndege ya kwanza iliyoundwa China yapaa Tanzania kununua ndege mpya ya Boeing Tatizo hilo linamaanisha kwamba baadhi ya tovuti za kampuni hiyo ya ndege haipatikani na kwamba b...