Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2018

Marekani kufungua ubalozi mpya leo mjini Jerusalem

Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Ofis ya ubalozi ambao itahudumu kama ubalozi wa Marekani mjini Jerusalem Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump Ivanka na mumewe Jared Kushner. Wengi wa maafisa kutoka Muungano wa Ulaya hawatahudhuria. Uamuzi wa Trump wa kuhamisha ubalozi huo kutoka Tel Aviv umegadhabisha Wapalestina amboa wanadai eneo la Jerusalem Mashariki ni mji wao mku wa badaye. Trump: Jerus...